MAFUNDISHO

YALIYOJIRI KATIKA KONGAMANO LA ZOE 30/9/2017 (PICHA)

Jumamosi ya tarehe 30/09/2017 wamama na mabinti kutoka kona zote za Dar es salaam na mikoa jirani walikusanyika katika viwanja vya kanisa la OASIS OF HEALING MINISTRIES (OHM) UBUNGO kwa ajili ya Kongamano kubwa la wamama na mabinti lililoandaliwa na huduma ya ZOE Ladies inayoongozwa na ANGELA NTEPA. Kongamano lilikuwa la furaha na lililojaa hamasa... Continue Reading →

Advertisements

KITABU: MALAIKA WA MAFANIKIO

Mchungaji PROSPER NTEPA ameandika kitabu kingine kizuri ambacho kitakupa changamoto katika maisha yako. Mtu awaone, au asiwaone malaika katika utendaji wao, bado ni halisi katika ulimwengu wa kiroho usioonekana. Baadhi ya waamini hawana habari kabisa juu ya malaika wa ulinzi. Waamini wengine wanajua juu ya malaika wa ulinzi na wanaomba ahadi za Mungu zinazohusiana nao.... Continue Reading →

KITABU: JINSI YA KUOA NA KUOLEWA

Kitabu hiki kitawasaidia wanaume na wanawake katika kupata mwenzi sahihi katika maisha yao. Maandalizi ya kuoa na kuolewa ni eneo muhimu sana linalohitaji uangalifu na hekima. Kuoa ni mojawapo ya mambo ambayo hayahitaji kukurupuka na kufanya haraka. Inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 50 ya mafanikio katika ndoa yanaanzia na chaguo sahihi la mwenzi sahihi yaani... Continue Reading →

KONGAMANO LA ZOE (wamama & mabinti)

Zoe ladies inawakaribisha katika kongamano kubwa la wamama na mabinti litakalofanyika siku ya jumamosi tarehe 30/09/2017 pale kanisa la OASIS OF HEALING MINISTRIES lililopo UBUNGO, nyuma ya UBUNGO PLAZA karibu na shule ya msingi UBUNGO NATIONAL HOUSING kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 11 jioni. Wahudumu watakuwa ni Mwenyeji Angela Ntepa, akisindikizwa na Mchungaji Deborah... Continue Reading →

Powered by WordPress.com.

Up ↑