KOZI/MASOMO

ORODHA YA KOZI AU MASOMO YANAYOTOLEWA CHUONI OHBC

Yafuatayo ndiyo masomo yanayofundishwa chuo cha The Oasis of Healing Bible College.

English (Kiingereza), Life Long Development (Maendeleo ya Kudumu), Pastoral Counseling (Ushauri wa Kichungaji), Theology 1 [Doctines of Scriptures, God, Trinity, etc.] (Theolojia Sehemu ya 1 [Mafundisho Kuhusu Maandiko, Mungu, Utatu, nk.), Media in Missions [Radio and TV Workshop] (Vyombo vya Habari katika Huduma –Karakana ya Redio na Televisheni) and Old Testament Survey (Mapitio ya Agano la Kale). Hermeneutics [How to interpret the Bible including parables-Jinsi ya kuitafsiri Biblia ikiwa ni pamoja na mifano], Introduction to Psychology and Self Esteem (Utangulizi katika Saikolojia na Kujitambua), New Testament Survey –including Inter Testament (Mapitio ya Agano Jipya), Theology II (Eschatology, Christology, Soteriology) Theolojia Sehemu ya II [Mambo ya Siku za Mwisho, Mambo ya Kristo, ……….], Church History I and II (Historia ya Kanisa Sehemu ya I na II), Pastoral Epistles (Nyaraka za Kichungaji), Writing Composition Made Easy (Uandishi Rahisi wa Tungo), Homiletics (Sanaa ya kuhubiri), Evangelism and Discipleship (Uinjilisti na Uanafunzi), Keys to Successful Ministry and Calling (Siri ya Mafanikio katika Huduma na Wito), Deliverance and Contemporary Theology and Inter Testament History (Kufunguliwa na Theolojia ya Siku hizi na Historia ya Agano Jipya).

 

Masomo Mengine

Pastoral Ministry –Poimenics (Huduma ya Uchungaji), Pneumatology (Mafundisho kuhusu Roho Mtakatifu), Christian Education (Elimu ya Kikristo), Theology III (Ecclesiology, Angelology, Doctrine of Creation) Theolojia Sehemu ya III [Mafundisho kuhusu Kanisa, Mafundisho kuhusu Malaika, Mafundisho kuhusu Uumbaji], Genesis (Kupitia kwa kina Kitabu cha Mwanzo), The Book of Romans (Kupitia kwa kina Kitabu cha Warumi), Major Prophets (Manabii Wakuu), Keys to Balanced Faith (Siri ya Kupata Imani yenye Uwiano), Introduction to Computer (Mafunzo ya Awali ya Kompyuta), Undestanding the Anointing (Kuuelewa Upako), Mentoring and Leadership (Kutoa maelekezo na Uongozi), the Book of Daniel –apocalyptic literature (Kitabu cha Danieli –maelezo kuhusu ufunuo wa siku za mwisho), Balanced Prosperity (Mafanikio yenye Uwiano), The Book of Hebrews (Kitabu cha Waebrania), Minor Prophets (Manabii Wadogo), Ministry of Healing (Huduma ya Upanyaji), World Religions and Cults (Dini za Ulimwengu na Imani Potofu), Synoptic Gospels –Matthew, Mark and Luke (Injili Tatu Zinazofanana – Mathayo, Marko na Luka), Cultural Anthropology (Elimu kuhusu chimbuko la binadamu na utamaduni wao), Church Planting and Church Growth (Upandaji wa Makanisa na Ukuaji wa Kanisa). Bibliology (Matumizi ya vitabu vilivyotumika katika nukuu), Fundamentals of Speech (Kanuni za Usemi), Church Administration (Utawala wa Kanisa), the Book of Revelation (Kitabu cha Ufunuo), Church History III (Historia ya Kanisa Sehemu ya III), Principles of Teaching (Kanuni za Kufundisha), Life of Christ and the Church in Ministry (Maisha ya Kristo na Kanisa katika Huduma).

 

MAKTABA: Chuo kinatoa huduma ya maktaba kwa wanafunzi, ni maktaba yenye orodha ya vitabu vya kujisomea na vitabu kwa ajili ya marejeo. Wanafunzi watapata fursa ya kuazima vitabu kutoka maktaba hii. Kuna vitabu ambavyo mwanafunzi ataruhusiwa kutumia akiwa ndani ya eneo la chuo tu. Wanafunzi watapaswa kuzingatia sheria za maktaba. Mwanafunzi yeyote atakayepoteza kitabu atapaswa kukilipa.

 

MAHALI CHUO KILIPO: Chuo cha OHBC kiko katika ofisi za The Oasis of Healing Ministries (OHM) nyuma ya Ubungo Plaza tunaangaliana na Kanisa la Anglikana na Shule ya Msingi Ubungo National Housing.

 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

MKUU WA CHUO OHBC,

PO Box 72635,

Dar es Salaam.

Tanzania.

Simu: 0713 212440

Email: prosperkasesela@gmail.com

Advertisements

Powered by WordPress.com.

Up ↑

%d bloggers like this: