About

Oasis Of Healing Ministries ni huduma ya kikristo na kipentekoste inayoongozwa na wachungaji Prosper na Deborah NTEPA. Tawi kuu la kanisa hili linapatikana UBUNGO, nyuma ya Ubungo plaza karibu na shule ya msingi UBUNGO NATIONAL HOUSING.

Advertisements

Powered by WordPress.com.

Up ↑