Welcome/Karibu

Welcome to our new site! Welcome to Oasis’ website. Be encouraged, challenged, motivated and changed by the True Gospel of Jesus Christ which is being preached and taught by His Humble and powerful Servants, Pastor PROSPER NTEPA & Pastor DEBORAH NTEPA.

Karibu katika tovuti yetu mpya! Karibu katika tovuti ya Oasis. Farijika, pata changamoto, hamasika, na badilishwa kupitia injili ya Yesu Kristo inayohubiriwa na watumishi wake wanyenyekevu na wenye nguvu, Mchungaji PROSPER NTEPA & Mchungaji DEBORAH NTEPA.

GREETINGS FROM APOSTLE PROSPER K. NTEPA
“Dear All
I greet you in the name Of Jesus Christ. It is my pleasure to welcome you all to this site. I am sure God is going to touch and bless you abundantly. May God help you to satisfy your desire. It is my belief that through this site you will continue to grow spiritually through the knowledge of the Word of God and ultimately the Word will transform you into another person..”

 

SALAMU KUTOKA KWA MTUME PROSPER K. NTEPA
“Wapendwa¬†
Nawasalimu katika jina la Yesu Kristo. Ni furaha yangu kuwakaribisha katika tovuti hii. Nina uhakika Mungu anaenda kukugusa na kukubariki mno. Mungu akusaidie upate kila unachokitamani. Ni imani yangu kuwa kupitia tovuti hii utaendelea kukua kiroho kupitia maarifa ya neno la Mungu and neno hilo litakubadilisha kabisa na kuwa mtu mpya..”
Advertisements

Powered by WordPress.com.

Up ↑